Visa vya Mitume na Manabii APP
Pia utaona historyia za watu wa jamii mbalimbali zilizoangamizwa na Allah. Pia utajifunza historyia za baadhi ya wajawema waliotajwa ndani ya Quran. Baada ya hapo ujajifunza historyia ya baadhi ya watu waovu waliotajwa ndani ya Quran.


