Hii ni historia na visa vya Mitume, Wajawema na Makhalifa Mtume (s.a.w)

Dernière version

Version
Mise à jour
3 juil. 2026
Développeur
Installations
100 000+

App APKs

Visa vya Mitume na Manabii APP

Kitabu hiki kinakwenda kukuletea historia ya Mitume, watu walio wachamyngu na makhalifa wanne baada ya kutawafu kwa Mtume Muhammad (s.a.w). Kitabu hiki kinakwenda kukuletea historia hizi kama zilivyotajwa kwenye coran.

Pia utaona historia za watu wa jamii mbalimbali zilizoangamizwa na Allah. Pia utajifunza historia za baadhi ya wajawema waliotajwa ndani ya Coran. Baada ya hapo ujajifunza historia ya baadhi ya watu waovu waliotajwa ndani ya Coran.
Lire la suite

Publicité

#} #}