Visa vya Mitume na Manabii APP
Pia utaona historia za watu wa jamii mbalimbali zilizoangamizwa na Allah. Pia utajifunza historia za baadhi ya wajawema waliotajwa ndani ya Quran. Baada ya hapo ujajifunza historia ya baadhi ya watu waovu waliotajwa ndani ya Quran.



