Download kitabu hiki cha Kesha la asubuhi, toleo la kiswahili

Ultima versione

Versione
Aggiornare
16 lug 2026
Sviluppatore
Google Play ID
Installazioni
50.000+

App APKs

Kesha La Asubuhi APP

Scarica app hii ili kuweza kusoma kwa urahisi kitabu cha Kesha la asubuhi, app kwaajili ya simu ili kumuwezeaha mtumiaji wa simu janja (smartphone) kujipatia ujumbe ule ule unaopatikana katika kitabu harisi cha Kesha la asubuhi.

Hii ni app ya bure kabisa na haimuhitaji mtumiaji kufanya malipo yoyote ili kutumia au kusoma sehemu yoyote ndani ya app.

Pakua app hii ya Kesha la asubuhi, na hakikisha unasoma kwa kufata tarehe husika kulingana na somo la siku hiyo. Kabla hujaanza kusoma ni vizuri ukamuomba Roho Mtakatifu ili kuongoza katika fasili sahihi, na kwakufanya hivyo imani yako itazidi kukua siku hadi siku na utazidi kubarikiwa na kuandaliwa kiroho kwaajili ya maisha baada ya maisha haya.
Ulteriori informazioni

Pubblicità

#} #}