Download kitabu hiki cha Kesha la asubuhi, toleo la kiswahili

Versi Terbaru

Versi
Memperbarui
18 Jul 2026
Developer
Kategori
Google Play ID
Instal
50.000+

App APKs

Kesha La Asubuhi APP

Download app hii ili kuweza kusoma kwa urahisi kitabu cha Kesha la asubuhi, app kwaajili ya simu ili kumuwezeaha mtumiaji wa simu janja (smartphone) kujipatia ujumbe ule ule unaopatikana katika kitabu harisi cha Kesha la asubuhi.

Hii ni app ya bure kabisa na haimuhitaji mtumiaji kufanya malipo yoyote ili kutumia au kusoma sehemu yoyote ndani ya app.

Aplikasi Pakua hii ya Kesha la asubuhi, na hakikisha unasoma kwa kufata tarehe husika kulingana na somo la siku hiyo. Kabla hujaanza kusoma ni vizuri ukamuomba Roho Mtakatifu ili kuongoza katika fasili sahihi, na kwakufanya hivyo imani yako itazidi kukua siku hadi siku na utazidi kubarikiwa na kuandaliwa kiroho kwaajili ya maisha baada ya maisha haya.
Baca selengkapnya

Iklan

#} #}